Exodus 8:28

28 aFarao akamwambia, “Nitawaruhusu mwende kumtolea Bwana Mwenyezi Mungu wenu dhabihu huko jangwani, lakini hamna ruhusa kwenda mbali sana. Sasa mniombee.”

Copyright information for SwhKC